sasa tanzania inaendelea ki fashion pia nguo wanazo designer wanatumia material yatu ya kiasili, hata hivyo nguo za kizungu zimezidi sana, napenda kuona watu wamevaa nguo au kitu chochote made in africa, pia tuwape sapoti designers wetu. umeona hivi viatu hapa ama kweli tanzania tuna weza! i love fashion and shopping!!!!
No comments:
Post a Comment