Friday, 25 November 2011

MAZOEZI YA TUMBO.....FLAT STOMACH DIET

 hi guys nimeamua kuanza mazoezi ya tumbo! nilivyo jifungua sikufunga tumbo wala mazoezi siku fanya kabisaa nikaliacha likafutuka, sasa imekuwa hata niki vaa nguo hazinikai vizuri yaani na chekesha lol! sasa basi nitakuwa na post picha kila mwezi ili uone maendeleo ya tumbo kupungua, naamini ndani ya miezi 6 tumbo litakuwa dogo kama navyo taka,, pia nitakuwa na deit. ahsante kwa kutembelea blog yangu
 tumbo langu muonekano wa sasa lol!! nakupa miezi 6 jibu nitakuwa na flat stomach diet.

love u my baby j

2 comments:

Aleks said...

Brother! Happy, I kept to my word, I'm reading your blog!

happy said...

karibu sana, on my blog i hope u understand some swahili quite well?