Friday, 11 November 2011

KIKI NDANI YA SWAHILI FASHION WEEK

 mwana dada huyu kaingia kwenye ubunifu wa nguo hivi karibuni sio siri kazi anayoifanya ni nzuri sana.
 kwenye swahili fashion alionekana kama ana miaka mitano kwenye mambo ya ubunifu! kwasabu ya  kazi yake nzuri, na  wateja wake watoka nchi mbalimbali kwa hivyo anapata sapoti. kikisfashiontz.com                          
 designe by kiki

Kiki's min shop @ Swahili Fashion

No comments: