Sunday, 27 November 2011

Kelly Rowland to swap jobs with Nicole Scherzinger?!

kelly baada ya kuwa uk x factor show, simon cowell amesema itabidi  kelly aamie us x factor mwaka ujao-itabidi wa badilishane na nicole scherzinger ataenda uk x factor. kelly na tulisa hawa elewani nafikiri ndo sababu ya kuhama! sipati picha nicole akiwa uk, ataludiana na lewis hamilton? si ndio zao kuachana na kuludiana? haya tutaona si yetu macho.

No comments: