Thursday, 17 November 2011
MTAZAMO WANGU......!!
Napenda sana kufanya biashara, kama nilivyosema mwanzo pia napenda sana kusaidia watu. ila kuna mtu mmoja nikiongea nae kuhusu biashara anakuwa kama vile ana nikatisha tamaa! lakini mimi naona kama vile anajikatisha tamaa mwenyewe na maisha yake! sio mimi , naamini ipo siku ndoto yangu itatimia nita sherekea na kusaidia watu kwa furaha. wanaweke wenzangu napenda kuwashauri ya kwamba usione mwenziyo ana fanya biashara na wewe ukataka ufanye kama yeye! ujui mwenzio anajituma vipi mpaka amefikia atua hiyo, usipaparuke kwa tamaa wala usifate mkumbo kisa jilani yako au fulani kaanzisha biashara. halafu unakuwa uwifatilii wala hujitumi baada ya hapo unafirisika! inahusuuuu?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Mmmmmh fanya uwezavyo acha kujaji mtu, hakuna binadamu ambaye ashauliwi, kama uliona ushauli wake aufai ungenyamaza sasa matangazo ya nini? una shughuli gani mimi sikupati hata rbo. Sijapenda hizo kauli zako kabisaaaaaaa......! mjasiliamali atakiwi kurumbana na watu mana utafuta uteja, sasa utamjaliliamali nani uko mbeleni..? think about this gal.
Post a Comment