Monday, 11 June 2012

UMEONA NYUMBA YA WEMA SEPETO...


 CELEBRITY YEYOTE ANATAKIWA AWE NA AKIRI YA KUJITUMA AU KUBUNI KITU FRANI KIZURI KWA FAIDA YAO WENYEWE, KAMA VILE WEMA ANAISHI MAISHA KAMA MACELEBRITY WA NCHI ZA NJE TU! LABDA UTOFAUNTI UKU JUA KULE BARIDI! BIG UP TO WEMA KWA KUDIZAINI HOME SWEET HOME





 FURNITURE HIZI ZOTE ZIME NUNULIWA DUBAI


 WEMA SEPETO & ZAMARADI
 HOME SWEET HOME, AMEJITAIDI SANA KUDIZAINI NYUMBANI KWAKE
HUU NDIO MCHUMA WAKE!

No comments: