Tuesday, 29 November 2011

I LOVE HER LOOK BLUE+GREEN+ BLACK

 i love her style, look stunning blue+green+black: ukisema ajapendeza utakuwa na wivu bora usifie, haya unasemaje? usibanie hizo comment!                                                              

                                                                            

The internet

 
All of the capital cities in Africa have internet access. But fewer than one out of every 250 people in the continent actually use it.
The African countries where the internet is most popular are:

  • Egypt
  • South Africa
  • Morocco
  • Nigeria

Masai child at school
Most of the people surfing live in towns or cities. Why isn't it more popular?
  • It's really expensive! On average, to surf the net for 20 hours costs more money than you can earn in a month.
  • Many kids haven't learnt to read.
  • They don't always have electricity - especially in the countryside.
The government in South Africa is keen for schools to have access to the internet - but many teachers say they still don't have enough books or even desks and chairs.

Education in africa

Many children in Africa are desperate to go to school and learn how to read and write. But most can't - normally because they don't have enough money.
You often have to pay school fees, and parents don't have the cash.
Also, many children are needed to help out at home.

Walking to school Even children who do go to school have to walk for hours to get there

Sunday, 27 November 2011

Kelly Rowland to swap jobs with Nicole Scherzinger?!

kelly baada ya kuwa uk x factor show, simon cowell amesema itabidi  kelly aamie us x factor mwaka ujao-itabidi wa badilishane na nicole scherzinger ataenda uk x factor. kelly na tulisa hawa elewani nafikiri ndo sababu ya kuhama! sipati picha nicole akiwa uk, ataludiana na lewis hamilton? si ndio zao kuachana na kuludiana? haya tutaona si yetu macho.

Friday, 25 November 2011

MAZOEZI YA TUMBO.....FLAT STOMACH DIET

 hi guys nimeamua kuanza mazoezi ya tumbo! nilivyo jifungua sikufunga tumbo wala mazoezi siku fanya kabisaa nikaliacha likafutuka, sasa imekuwa hata niki vaa nguo hazinikai vizuri yaani na chekesha lol! sasa basi nitakuwa na post picha kila mwezi ili uone maendeleo ya tumbo kupungua, naamini ndani ya miezi 6 tumbo litakuwa dogo kama navyo taka,, pia nitakuwa na deit. ahsante kwa kutembelea blog yangu
 tumbo langu muonekano wa sasa lol!! nakupa miezi 6 jibu nitakuwa na flat stomach diet.

love u my baby j

Wednesday, 23 November 2011

Get to know BBM

Communicate in real time

Send and receive messages in seconds, see when your contacts are typing, and know when your messages are delivered and read. If someone doesn’t have BBM, you can still text them from within your BBM screen.2

Build your network

Scan barcodes or swap PINs to add BBM friends quickly and easily. From there, you can create BlackBerry Groups and message single or multiple contacts instantaneously.

Share with friends

With up to 2000 characters to share your thoughts, you can say it all without cutting it short. And when words aren’t enough, swap pictures, videos, voice notes and files up to 6 MB.

Make it your own

Personalise your BBM with a display picture, add a personal message and show what you’re listening to on your BlackBerry smartphone.      go to http://uk.blackberry.com

Tuesday, 22 November 2011

VODACOM FOUNDATION YAJENGA MADARASA IRINGA



Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kusini Jackson Kiswaga akiongea na wazazi na wanafunzi wa kata ya Kalenga Mkoani Iringa wakati wa hafla ya kuwakabidhi msaada wa madarasa mawili yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 29 kwa shule ya sekondari ya Lipuri ya mkoani humo ,yaliyojengwa na Vodacom Tanzania kupitia mfuko wa kusaidia jamii”Vodacom Foundation”Kulia ni Afisa Elimu wa Sekondari za Wilaya ya Iringa William Mkangwa na Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule.

XMAS HIYOOOO....!!

 xmas hiyo imekalibia i cant wait to go back to tz nime limiss plau, sipati picha nikifika tz! we niku party kwa kwenda mbele, maisha yenyewe haya! holiday yenyewe kwa mwaka mara moja. inahusuuu? hizo picha hapo ni baridi mpaka kwenye mifupa nime jikausha tu!!



kaka adam

adam @kipepeo beach, hilo pozi alilo kaa hapo tafikili ninashida? itoke wapi.

Monday, 21 November 2011

Lady Gaga visited Amy Winehouse’s home

Lady Gaga reportedly visited AMY Winehouse’s old home during her recent trip to the UK. Lady G singer apparently paid an undercover trip to the house in Camden where Amy had been found dead in to "pay respect to a musical hero".

Saturday, 19 November 2011

SAUDA MWILIMA AVISHWA PETE YA UCHUMBA


 umeona?

 jamani hilo paja la wema sepetu ndo (majimolwa) au?
wapambe wakisega lumba...! kwa habari zaidi bonyeza hap

Friday, 18 November 2011

HAPPY IN MWANZA

 my home town. is more to see in my blog...!

BABY J

Tulienda shopping na joshua acha aanze kucheza kwenye vitanda, he was all over the pleace ukimtoa mtakesha ni bora uvunge una muacha ndio huyo ata..... si kujificha kwenye ma box yani anachekesha! love u baby j mhah!

Thursday, 17 November 2011

MTAZAMO WANGU......!!

Napenda sana kufanya biashara, kama nilivyosema mwanzo pia napenda sana kusaidia watu. ila kuna mtu mmoja nikiongea nae kuhusu biashara anakuwa kama vile ana nikatisha tamaa! lakini mimi naona kama vile anajikatisha tamaa mwenyewe na maisha yake! sio mimi , naamini ipo siku ndoto yangu itatimia nita sherekea na kusaidia watu kwa furaha. wanaweke wenzangu napenda kuwashauri ya kwamba usione mwenziyo ana fanya biashara na wewe ukataka ufanye kama yeye! ujui mwenzio anajituma vipi mpaka amefikia atua hiyo, usipaparuke kwa tamaa wala usifate mkumbo kisa jilani yako au fulani kaanzisha biashara. halafu unakuwa uwifatilii wala hujitumi baada ya hapo unafirisika! inahusuuuu?

Saturday, 12 November 2011

FUN FUN FUN!!!


(ludi ludi ludi na camera yako tafadhali!!) jamani ma celeb wana viziwa na paparazz hadi chooni? ukiwa celeb utajuta kama ndo hivi noooo...

Friday, 11 November 2011

KIKI NDANI YA SWAHILI FASHION WEEK

 mwana dada huyu kaingia kwenye ubunifu wa nguo hivi karibuni sio siri kazi anayoifanya ni nzuri sana.
 kwenye swahili fashion alionekana kama ana miaka mitano kwenye mambo ya ubunifu! kwasabu ya  kazi yake nzuri, na  wateja wake watoka nchi mbalimbali kwa hivyo anapata sapoti. kikisfashiontz.com                          
 designe by kiki

Kiki's min shop @ Swahili Fashion

Tuesday, 8 November 2011

Monday, 7 November 2011

NIGHT OUT WITH MY WIFI




 hii picha naona macho yametoka kama malienge!! au wasi wasi wangu tu?
 wifi yangu alinipa zawadi ya clutch bag, nimeibeba kwenye picha ya hapo juu!

 tukaenda kwenye bonfire we had sooomuch fun.......!
boys playing game.....

Saturday, 5 November 2011

JIDE YUKO KWENYE MAOMBI YA KUMSHURU BWANA: MWEZI HUU WOTE ANAVAA NGUO NYEUPE TU! HOW CUTE JAMANI>




                                                               you look sex baby.......