namshukuru bwana muumba wa mbingu na nchi kwa kuniwezesha kuwa hai mpaka dakika hii, huwesi amini sijawahi kusherekea birthday yangu hata siku moja! kwanza huwa zina nipita alafu nakuja kukumbuka baada ya mwezi!! napenda niendelee hivyo hivyo kutokumbuka kwasababu hata nikisema ni party sijui nini? nisawa na bure kwasababu sijawahi kusherekea toka nizaliwe! mhimu ni kwamba mshukuru bwana siku zote na saa yoyote.
2 comments:
hivi kweli unaweza usikumbuke siku ya kuzaliwa kwako? sishangai sana wa africa wengi huwa atusherekei siku ya kuzaliwa kwetu!!!
basi jifunze kusherekea birthday yako!
Post a Comment