HIVI KWELI HII NI AKILI AU? HIZI SANAMU ZIMEWEKWA KWENYE MOJA YA PARK UKO KOLEA! SIJUI WATU WANAFIKILIA NINI MPAKA KUWEKA VITU KAMA HIVI?
hizi picha nimezitoa kwa lady jay dee, yaani nilivyo ziona nilpatwa na mshangao! nafikili hiyo park inaluhusiwa kenda mtu akiwa ana miaka 18 nakuendelea. sijui hao watu wakolea wanafikilia nini? au ndo siku za mwisho zina fika? my opinion
No comments:
Post a Comment