Showing posts with label happy. Show all posts
Showing posts with label happy. Show all posts
Saturday, 29 October 2011
HAPPY BIRTHDAY TO ME!!!!!
namshukuru bwana muumba wa mbingu na nchi kwa kuniwezesha kuwa hai mpaka dakika hii, huwesi amini sijawahi kusherekea birthday yangu hata siku moja! kwanza huwa zina nipita alafu nakuja kukumbuka baada ya mwezi!! napenda niendelee hivyo hivyo kutokumbuka kwasababu hata nikisema ni party sijui nini? nisawa na bure kwasababu sijawahi kusherekea toka nizaliwe! mhimu ni kwamba mshukuru bwana siku zote na saa yoyote.
Learn how to get beautiful, healthy skin. Tips for black women on skin care.
You desire it and wonder how you can get it. What is it? Beautiful skin. Is it perfect? Not likely, because models and celebrities have an arsenal of beauty weapons the average woman doesn't have access to: professional makeup artists, exclusive cosmetics, and airbrushing among them.
While perfect skin is usually the hallmark of babies and retouched photographs, beautiful, healthy skin is within your grasp. For black women, a smooth, even complexion is attainable with proper care.
Beautiful skin often begins inside and radiates outward. A healthy diet is vital. This means eating good-for-you foods and saving indulgent treats for special occasions. Fruits and vegetables should make up a large portion of your daily intake. Fatty, fried foods should be kept to a minimum. Instead, bake, sauté (in olive oil or oily sprays), or broil your food.
Also, the importance of water cannot be overemphasized. Drink at least the recommended eight cups a day and compensate for alcoholic and caffeinated beverages with more wate, kwa maelezo zaidi bonyeza kenye hizo alama za blue.

Tuesday, 25 October 2011
Victoria Beckham's fashion line makes '£15 million in 3 months'
victoria beckham`s anatalajia kuingiza kiasi cha £60 million,
mwishoni wa mwaka huu. mambo yake ya fashion yamekua,
yakimuendea vizuri mwana dada huyu.
mwishoni wa mwaka huu. mambo yake ya fashion yamekua,
yakimuendea vizuri mwana dada huyu.
Monday, 24 October 2011
Sunday, 23 October 2011
Friday, 21 October 2011
Thursday, 20 October 2011
HAPPY IN LONDON
on my way to london....!
kla kitu kapaka blue yani mpaka tosha!!
kit car
queen elizabeth her home, kila geti ni gold tupu!!
kla kitu kapaka blue yani mpaka tosha!!
kit car
queen elizabeth her home, kila geti ni gold tupu!!
Tuesday, 18 October 2011
TUKO BUSY NA GUITAR!
wifi yangu
happy: hili guitar hapo juu lina dhamani ya dola elfu tano! hapo ndipo,
nilipochoka kabisaaaaaaa!
happy: hili guitar hapo juu lina dhamani ya dola elfu tano! hapo ndipo,
nilipochoka kabisaaaaaaa!
Monday, 17 October 2011
Wednesday, 12 October 2011
Monday, 10 October 2011
JOSE MARA AKIWA NA HAO WATOTO HAPO: SO WHO DO YOU THINK IS A REAL COOL DUDE.....?
cool dude guys, hii picha ina nikumbusha sengelema mwanza!!
mie nafikili wote wako cool. je nyie mnasemaje?
mie nafikili wote wako cool. je nyie mnasemaje?
WE MISS YOU MICHELLE
jamani tumewa miss mpaka basi, njooni joshua apate mtu wa
kucheza nae. na baridi la uk ndo limeanza!
BIBI BABU NA MJUKUU
bibi na babu yake baby j wako busy wenyewe kufundishana,
na mjukuu wao. huwa wakija kutusalimia some time na wapikia chakula
cha kiswahili wanapenda!!!
Sunday, 9 October 2011
DON`T CUT UP YOUR CREDIT CARD
most people should have at least one credit card in their wallet.
LOVEMONEY.COM
LOVEMONEY.COM
Saturday, 8 October 2011
BEAUTY TIP OF THE DAY
siri ya ngozi yako nikuiyelewa mwenyewe langi ya ngazi yako.
ni mhimu kuiyelewa ngozi yako.
chagua ubora wa shades ili kuiboresha ngozi yako.black skin care
nilahisi kufatilia aina zingine za skin care, ambayo inaweza kukufaa.
katika ngozi yako kama vile makeup.

Friday, 7 October 2011
Thursday, 6 October 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)