Tuesday 20 December 2011

I LOVE MY SHOOEESSSS!;]




jamani navipenda sana hivi viatu, check hicho kisigino! hapo sijavalia nguo ya kutokea, nikivaa je? nahisi nita pendeza ile mbayaaaa!! siku nikitoka out nikavaa hiki kiatu lazima nipost, ili wadau wangu muone, au vipi?

Thursday 15 December 2011

HAPPY IN TZ


hi guys i just  wanna sey,, nilivyo fika tz ni lifurahi sana, nilipamiss mno  tz!! kila mtu huwa ana nishangaa sana ninavyosema sipapendi uk! nakweli sipapendi, some time watu wana niuliza utamiss nini uk? na mimi na wajibu nitamiss shopping !! kwa sababu sioni kitu kingine cha ku kimiss lol!!



ndiyo nilienda salon!!
how do i look?!!

Tuesday 13 December 2011

SAFARI YETU ILIKUWA HIVI...

 babu na mjukuu kabla atujaondoka UK, joshua alichezaje na babu yake? ata miss sana.

 dad and son
 mommy son and dad
 nime ji chokea mwenyewe  hadi macho naona uvivu kuangalia!! jamani masaa nane si mchezo kusafiri!
happy in dar yeeee!

Wednesday 7 December 2011

KOURTNEY KARDASHIAN TEEN MOM!!!

jamani! kourtney kardashian has announced she,s nine weeks pregnant with her second child. is the miltimillion-pound baby  range deal already on the way...!!! check this out watu walivyo tweeted!


"Im Shocked Kourtney Kardashian is pregnant again, Did she not learn anything from TEEN MOM?" Farrah Tweeted today. "Maybe its a fake pregnancy like kims wedding SAD"
Kourtney couldn't understand the logic behind

DANCING WITH STARS WINNER 2011


Dancing with the Stars winner J.R. Martinez is quickly starting a collection.
On Friday, J.R. attended the Lady in Red Gala benefiting Disabled Veterans' LIFE Memorial Foundation at Mar-a-Lago in Palm Beach.
napenda anavyo cheza! nlikuwa nataka awinner na ame winner safi sana, alikuwa mwana jeshi wa marekani, look at him is so cu!

Monday 5 December 2011

HAPPY NITA ANZA KUPOST PICHA ZANGU....LOL!!

habari zenu wapendwa? natumaini weekend yenu ilikuwa relaxinga and full of fun moments! haya week nyingine hii, napenda kuwajulisha kwamba hivi karibuni nitaanza kupost na picha zangu, na vitu vingine vizuri! si mnajua tena blog hii aina hata mwaka ndo kwanza naanza! sasa basi naombeni mjisikie huru mkiwa happyinafrica blog, ukijisikia kutuma comments we tuma tu kama una swali lolote niulize? napenda kuwa shukuru wadau wangu, mnao view site yangu support yako ina maana kubwa sana kwangu, kwa hiyo thank u so so much guys. kisses from africa!

Sunday 4 December 2011

CRAZY XMAS SHOPPING!!



jamani watu ndio wanavyo fanya shopping vile jamani? na kununua kwenyewe wana nunua makoro koro tu hata ayana maana! hii wiki nimefililiza kwenda shopping, jamani watu si kubanana kila mtu yuko busy na manunuzi, ama kweli wenzetu wana jua kutumia! some time mtu yuko shopping ka bebelea mifuko kama kumi hivi, hapo hapo anapiga simu home ana uliza na nini tena ninunue? jamani! na kesho yake tena ataludi shopping, mpaka xmas inapo fika ndo ataacha!! au ndo matumizi yenyewe hayo? sasa basi, xmas shopping zetu tz ni plau la nguvu na nguo, watoto wamependeza kwisha kazi.lakini huku uk ni kushop kwakenda mbeleeee