Saturday 11 February 2012

KUTOA MIZIGO BANDALINI MPAKA UTOE LUSHWA!

sio siri ingawa mi ni mtanzania kusema na ukweli watanzania wana penda sana lushwa! hasa wafanya kazi wa selikalini ndo watu wa baya sana! nimetuma mizigo yangu kutoka uk kuja hapa tz, imeisha fika hapa  tz huu mwezi wa pili sasa! nilitafuta wakala ili anifanyie kazi yangu, ila kila nikienda ofsini kwao wana omba pesa nikiuliza kwanini mzigo unachelewa kutoka anasema si unjua tena tanzania yetu TRA wanataka pesa ya soda ili wakufanyie kazi yako haraka!! hehehe niliishiwa nguvu kabisa nikijiangalia sina pesa! na pesa wanayo taka ni nyingi huwezi amini! na mzigo wenyewe sio wa biashara hata auna thamani sana, uk nimekaa miaka 2, sasa nilikuwa naludi nyumbani tz, na sipaswi kulipia kwa sababu nilikuwa nje kwa miakia hiyo 2 nilikuwa na soma. na vitu vienyewe ni via ndani. lushwa jamani mpaka lini? hivi kweli tanzania tutafika? ina niuma sana. <email yangu out>

Thursday 9 February 2012

Wednesday 8 February 2012

MY NEW HAIR



happy


 nywele zangu nilisukia mwenge wana suka ni hatari< pia bei zao ni nzuri si unajua tena mwana mke kupendeza sasa pale ukienda lazima upende...! pia huyu dada aliye nisuka haumizi kabisaa number yake ni 0715 049993 anaitwa zai.

Wednesday 1 February 2012

BUSINESS BOY...! ANAPOKEA SIMU ZA BIASHARA....

 business men mtalajiwa...!mwenyewe yuko busy anaongea na wafanya kazi wake. hizo ndara sasa lol!

wahi kazini mwanangu,angarau tupate pesa ya mboga! KUWA NA MTOTO WA KIUME RAHA SANA, NA UMLEA AVYO NDIVYO AKUWAVYO.