happy
jessica hapo kati na ndugu yake emilly
emilly
wapendwa mnakalibishwa sana kwenye bar mpya ya emilly iko maeneo ya namanga, siku ya ijumaa na juma mosi wana piga miziki ya; bob marley; legend wote mnakalibishwa. nilitoka na marafiki zangu sio siri tulienjoy sana, pia ukienda unajuana na watu!
No comments:
Post a Comment