Saturday, 31 March 2012

YES I WENT TO MWANZA...!

 muone baby j, ataki kusafiri; aliliaje lakini tulivyo fika alinyamaza mwenyewe watoto alimchangamsha
 check mji ulivyo msafi, hakuna foleni wala joto! hali ya hewa mrrrrruwa sabisa, napenda sana my home town

 kaka na dada yake wakicheza
 i
 mum and son
 lake victoria
mwanza-cool

No comments: