Saturday, 11 February 2012
KUTOA MIZIGO BANDALINI MPAKA UTOE LUSHWA!
sio siri ingawa mi ni mtanzania kusema na ukweli watanzania wana penda sana lushwa! hasa wafanya kazi wa selikalini ndo watu wa baya sana! nimetuma mizigo yangu kutoka uk kuja hapa tz, imeisha fika hapa tz huu mwezi wa pili sasa! nilitafuta wakala ili anifanyie kazi yangu, ila kila nikienda ofsini kwao wana omba pesa nikiuliza kwanini mzigo unachelewa kutoka anasema si unjua tena tanzania yetu TRA wanataka pesa ya soda ili wakufanyie kazi yako haraka!! hehehe niliishiwa nguvu kabisa nikijiangalia sina pesa! na pesa wanayo taka ni nyingi huwezi amini! na mzigo wenyewe sio wa biashara hata auna thamani sana, uk nimekaa miaka 2, sasa nilikuwa naludi nyumbani tz, na sipaswi kulipia kwa sababu nilikuwa nje kwa miakia hiyo 2 nilikuwa na soma. na vitu vienyewe ni via ndani. lushwa jamani mpaka lini? hivi kweli tanzania tutafika? ina niuma sana. <email yangu out>
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment