Sunday, 4 December 2011
CRAZY XMAS SHOPPING!!
jamani watu ndio wanavyo fanya shopping vile jamani? na kununua kwenyewe wana nunua makoro koro tu hata ayana maana! hii wiki nimefililiza kwenda shopping, jamani watu si kubanana kila mtu yuko busy na manunuzi, ama kweli wenzetu wana jua kutumia! some time mtu yuko shopping ka bebelea mifuko kama kumi hivi, hapo hapo anapiga simu home ana uliza na nini tena ninunue? jamani! na kesho yake tena ataludi shopping, mpaka xmas inapo fika ndo ataacha!! au ndo matumizi yenyewe hayo? sasa basi, xmas shopping zetu tz ni plau la nguvu na nguo, watoto wamependeza kwisha kazi.lakini huku uk ni kushop kwakenda mbeleeee
Labels:
shopping
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment